Baraza la Mtaa lililoketi tarehe 04/05/2019 chini ya usimamizi wa mchungaji wa Mtaa na wajumbe kutoka makanisa yote matatu yanayounda mtaa wa Tegeta yaani (1) Tegeta, (2) Tegeta Beach, na (3) Boko, lilichagua viongozi mbalimbali katika kusaidia kuratibu shughuli za Mtaa zinazohitaji ushirikiano wa pamoja. Viongozi waliochaguliwa, watakaokaa kwa mwaka mmoja ni kama ifuatavyo:-
(01) Msaidizi wa Mchingaji - Maingu Jandwa.
(02) Katibu wa Mtaa - Fred Maiga
(03) Kiongozi wa Uinjilist - Timothy Chuwa.
(04) Kiongozi wa Wana wa Kike - Eliada Masatu
(05) Kiongozi wa Watoto - Flora Madiwa.
(06) Kiongozi wa Shule ya Sabato - Egla Mgeta
(07) Kiongozi wa Muziki - Frank Hume
(08) Mratibu wa Mashemasi - Peter Magai
(09) Kiongozi wa vijana - Stanley Kilave
(10) Kiongozi wa Majengo - Hosea Kakwaya
(11) Mhazini wa Mtaa - Israel Mngale
(12) Mhazini Msaidizi - Jeremiah Magau
Ilipendekezwa pia kuwa na kamati ya majengo ya mtaa itakayomsaidia kiongozi wa mtaa majukumu yake muhimu. Kwa pamoja wataweka mikakati ya kusaidia kupatikana kwa viwanja pamoja na ujenzi wake. Kamati hii inao watu wafuatao.
1. Kiongozi wa majengo Mtaa
2. Viongozi wa Majengo kutoka katika makanisa yote.
3. Tenga B Tenga.