MATUKIO YA KONFERENSI:


Semina ya Uongozi kand ya Morogoro ilifanyika tarehe 01/09/2019 mjnini Morogoro. Semina hii iliwajumuisha Mwenyekiti wa Konferensi ya Mashariki Kati ya Tanzania - Mchungaji Joseph Mngwabi, mchungaji Amosi Lutebekela - Katibu, Mlezi wa wachungaji na wazee wa kanisa - Mchungaji James Machage, na viongozi wa makanisa ya mji wa Morogoro.


Watoto wa wachungaji wa mji wa Morogoro wanaounda umoja wa watoto wa wachungaji ujulikanao kama PK walipokutana kwa semina maalum. Pamoja nao ni mlezi wa umoja huo mchungaji James Machage.


MSEMBELE AAGANA NA USEJA