Makambi ya Mtaa wa Tegeta mwaka 2019 yataanza tarehe 28/07/2019 - Jumapili (ingawa hapa kwetu yataanza tarehe 27/07/2019 - Jumamosi ili kukamilisha siku saba za Makambi kama inavyoelekzwa na Maandiko. "Fanya sikukuu ya vibanda siku saba, utakapokwisha kuyakusanya yatokayo katika sakafu yako ya nafaka, na katika kinu chako cha divai - Kumbukumbu la Torati 16:13, na yataisha tarehe 03/08/2019, Jumapili.
Wahudumu katika Makambi haya ambayo yatafanyika Tegeta watakuwa (1) Jackson Mding'i kutoka NETC, (2) Lupakisyo Mwakasweswe kutoka ECT, na (Polycarp Shirima Kutoka Chuini Zanzibar. Wahudumu wa Watoto na Wajane watajulikana hapo baadaye. Mchungaji mwenyeji wa mkutano huo ni Stephen Letta.
Ili kufanikisha mkutano huo muhimu wa kiroho wa kufunga mwaka, Baraza la mtaa wa Tegeta limeunda kamati mbalimbali. Kamati za Makambi ya Mtaa wa Tegeta mwaka 2019 zimegawanywa kama ifuatavyo:
Wahudumu katika Makambi haya ambayo yatafanyika Tegeta watakuwa (1) Jackson Mding'i kutoka NETC, (2) Lupakisyo Mwakasweswe kutoka ECT, na (Polycarp Shirima Kutoka Chuini Zanzibar. Wahudumu wa Watoto na Wajane watajulikana hapo baadaye. Mchungaji mwenyeji wa mkutano huo ni Stephen Letta.
Ili kufanikisha mkutano huo muhimu wa kiroho wa kufunga mwaka, Baraza la mtaa wa Tegeta limeunda kamati mbalimbali. Kamati za Makambi ya Mtaa wa Tegeta mwaka 2019 zimegawanywa kama ifuatavyo:
KAMATI YA BAJETI:
1. Elder Daniel Lyimo - Tegeta Beach
2. Fadhili Magesa - Tegeta
3. Betinansia Manyama - Boko.
KAMATI YA MAWASILIANO NA PA SYSTEM:
1. Saul Gwahula - Tegeta
2. Junior Chikira - Tegeta
3. Eraga Mjuli - Tegeta Beach
4. Charles Essero - Tegeta Beach
5. Stephen Robi - Boko
6. Elia Mobhe - Boko
1. Saul Gwahula - Tegeta
2. Junior Chikira - Tegeta
3. Eraga Mjuli - Tegeta Beach
4. Charles Essero - Tegeta Beach
5. Stephen Robi - Boko
6. Elia Mobhe - Boko
KAMATI YA MAANDALIZI YA PROGRAM ZA SS:
1. Eglah Mgeta
2. Betty Kerenge
3. Mrs Timothy Chuwa
1. Eglah Mgeta
2. Betty Kerenge
3. Mrs Timothy Chuwa
KAMATI YA UIMBAJI:
1. Migisha A. Hume - Tegeta Beach
2. Riwald Elly - Tegeta
3. Enock Maregesi - Boko
1. Migisha A. Hume - Tegeta Beach
2. Riwald Elly - Tegeta
3. Enock Maregesi - Boko
KAMATI YA CHAKULA, MALAZI NA USAFIRI WA WACHUNGAJI:
1. Betty Kerenge - Tegeta
2. Marry Nonga - Tegeta
3. Salome Maiga - Tegeta
4. Elder Stanley Kilave - Tegeta
1. Betty Kerenge - Tegeta
2. Marry Nonga - Tegeta
3. Salome Maiga - Tegeta
4. Elder Stanley Kilave - Tegeta
KAMATI YA MIMBARI NA RATIBA:
1. Elder Pascal Maganga -Tegeta Beach
2. Eliamani Kipingu - Tegeta Beach
3. Clara Msoka - Tegeta Beach
1. Elder Pascal Maganga -Tegeta Beach
2. Eliamani Kipingu - Tegeta Beach
3. Clara Msoka - Tegeta Beach
KAMATI YA PROGRAM ZA WATOTO:
1. Flora Madiwa - Boko.
2. Upendo Maingu - Tegeta
3. Elizabeth Essero - Tegeta Beach
4. Kibaso Nyakiswahili -Boko
1. Flora Madiwa - Boko.
2. Upendo Maingu - Tegeta
3. Elizabeth Essero - Tegeta Beach
4. Kibaso Nyakiswahili -Boko
KAMATI YA AFYA NA USAFI:
1. Elly Mulesi - Tegeta
2. Neema Damba - Tegeta
3. Anna Leonald
1. Elly Mulesi - Tegeta
2. Neema Damba - Tegeta
3. Anna Leonald
KAMATI YA MAHEMA NA VITI:
1. Miriam Mobhe - Boko
2. Twazera Madiwa - Boko
3. Sony Obeid - Boko
4. Ezekiel Jeremiah - Boko
1. Miriam Mobhe - Boko
2. Twazera Madiwa - Boko
3. Sony Obeid - Boko
4. Ezekiel Jeremiah - Boko
KAMATI YA ULINZI:
1. William Masatu - Tegeta Beach
2. Emmanuel Senso - Tegeta Beach
3. Marwa Magau - Tegeta Beach
4. Monica Charles - Tegeta Beach
1. William Masatu - Tegeta Beach
2. Emmanuel Senso - Tegeta Beach
3. Marwa Magau - Tegeta Beach
4. Monica Charles - Tegeta Beach
KAMATI YA MAPAMBO:
1. Jemima Hosea
2. Hellen Mafuru
3. Mary Joshua
1. Jemima Hosea
2. Hellen Mafuru
3. Mary Joshua